• HABARI MPYA

    Thursday, July 21, 2016

    NINI WAZIRI NCHEMBA ALIKUWA ANAMUAMBIA MALINZI HAPA?

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Mchemba (kushoto) akizungumza na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi Jumapili katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree By Hilton, Masaki, Dar es Salaam wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za washindi mbalimbali wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu uliopita
    Waziri Nchemba alionekana kuwa na mazungumzo muhimu na Malinzi siku hiyo
    Na kuna wakati Nchemba alikuwa akimueleza jambo kwa msistizo Malinzi, ambaye alionekana kuwa mtulivu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NINI WAZIRI NCHEMBA ALIKUWA ANAMUAMBIA MALINZI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top