• HABARI MPYA

    Monday, July 18, 2016

    AZAM FC NA ASHANTI UNITED KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimlamba chenga mchezaji wa Ashanti United katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    Kiungo wa Azam, Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Ashanti
    Mshambuliaji wa Azam FC, Ame Ali akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Ashanti 
     Kiungo wa Azam, Frank Domayo akipasua katikati ya wachezaji wa Ashanti
     Kikosi cha Azam FC kilichoifunga Ashanti United 2-0 jana 
    Benchi la Ufundi la Azam FC linaloundwa na makocha kutoka Hispania
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA ASHANTI UNITED KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top