Bondia Deontay Wilder (kushoto) akimchapa konde Mmarekani mwenzake, Chris Arreola katika pambano lao la uzito wa juu usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Legacy Arena mjini Alabama, Marekani. Wilder alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya nane baada ya mpinzani wake kujiuzulu na kutetea taji lake la WBC uzito wa juu. Hata hivyo, Wilder alivunjika mkono katika pambano hilo, hivyo uwezekano wa kurudi ulingoni haraka kwa ajili ya pambano ama na Anthony Joshua au Tyson Fury ni mdogo sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excruciating moment rapper Ja Rule smashes golf ball straight into crowd at
Derek Jeter's charity tournament
-
Remarkable footage, captured from just meters away, shows Ja Rule teeing
off with people surrounding the tee box in the Bahamas.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment