• HABARI MPYA

  Wednesday, July 13, 2016

  MALINDI FC HII ILIKARIBIA KUVUNJA REKODI YA SIMBA KOMBE LA CAF 1995

  Kikosi cha Malindi 1995 ambacho kilifika Nusu Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1995 na kutolewa kwa penalti 4-3 na Etoile du Sahel ya Tunisia baada ya sare ya jumla ya 1-1, kila timu ikishinda 1-0 nyumbani kwake. Ingeingia Fainali, Malindi ingekuwa timu ya pili ya Tanzania kufika hatua hiyo katika michuano hiyo, baada ya Simba SC mwaka 1993
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALINDI FC HII ILIKARIBIA KUVUNJA REKODI YA SIMBA KOMBE LA CAF 1995 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top