DROO ya Hatua ya Timu 64 Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB imefanyika leo Studio za Azam TV, Tabata TIOT Jijini Dar es Salaam na vigogo wote, Simba na Yanga wataanzia nyumbani dhidi ya timu za madaraja ya chini.
Mabingwa watetezi, Yanga watacheza na Cosmopolitan, zote za Dar es Salaam, Simba Sports Club na Greenland ya Kagera, Azam FC na Endument ya Kilimanjaro na Singida Black Stars dhidi ya Copco FC ya Mwanza.
Mabingwa watetezi, Yanga watacheza na Cosmopolitan, zote za Dar es Salaam, Simba Sports Club na Greenland ya Kagera, Azam FC na Endument ya Kilimanjaro na Singida Black Stars dhidi ya Copco FC ya Mwanza.
MECHI ZOTE ZA 64 BORA
Tanzania Prisons V Moro Kids
Mbeya City V Bishara United
Coastal Union V Nyumbu FC
TRA United V Rhino Rangers
JKT Tanzania V Pan Africa
Mtibwa Sugar V IAA SC
Fountain Gate V Mapinduzi FC
Namungo V Magnet FC
Pamba Jiji V Alliance FC
Dodoma Jiji V Kilimanjaro Wonders
KMC FC V Bandari Tanzania
Mashujaa FC V NKIM FC
Tanzania Prisons V Moro Kids
Mbeya City V Bishara United
Coastal Union V Nyumbu FC
TRA United V Rhino Rangers
JKT Tanzania V Pan Africa
Mtibwa Sugar V IAA SC
Fountain Gate V Mapinduzi FC
Namungo V Magnet FC
Pamba Jiji V Alliance FC
Dodoma Jiji V Kilimanjaro Wonders
KMC FC V Bandari Tanzania
Mashujaa FC V NKIM FC



.png)
0 comments:
Post a Comment