• HABARI MPYA

    Monday, July 18, 2016

    LIVERPOOL YAITANDIKA WIGAN 2-0 KIRAFIKI ENGLAND

    Danny Ings akiifungia Liverpool katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wigan kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa Jumapili Uwanja wa DW. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Ben Woodburn PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAITANDIKA WIGAN 2-0 KIRAFIKI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top