• HABARI MPYA

  Tuesday, July 12, 2016

  BARCELONA YAMSAINI MIAKA MITANO BEKI WA KAZI, SAMUEL UMTITI

  Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ufaransa, Samuel Umtiti aliyesaini mkataba wa miaka mitano kutoka klabu ya Lyon ya kwao kwa dau la Pauni Milioni 21  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAMSAINI MIAKA MITANO BEKI WA KAZI, SAMUEL UMTITI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top