• HABARI MPYA

  Wednesday, July 13, 2016

  AZAM YASHUSHA MTU KUTOKA IVORY COAST, ALIKUWA ANAKIPIGA TUNISIA

  Mshambuliaji Muivory Coast, Ibrahima Fofana (kushoto) kutoka klabu ya Union Sportive de Ben Guerdane ya Tunisia akiongozana na Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na klabu hiyo.

  Fofana (katikati) alijiunga na Union Sportive de Ben Guerdane akitokea Asec Mimosas ya kwao, Ivory Coast
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM YASHUSHA MTU KUTOKA IVORY COAST, ALIKUWA ANAKIPIGA TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top