• HABARI MPYA

  Wednesday, May 09, 2018

  ZAHA ALIVYONG'ARA NA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA APRILI

  Winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Aprili baada ya kukabidhiwa kufuatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kufunga mabao matatu katika mechi nne na kuiwezesha klabu yake kukusanya pointi nane kati ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZAHA ALIVYONG'ARA NA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA APRILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top