Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Argentina dakika za 17 kwa penalti, 58 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Haiti usiku wa kuamkia leo kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao Urusi. Bao lingine la Argentina limefungwa na Sergio Aguero dakika ya 69 Uwanja wa Alberto Jose Armando mjini Buenos Aires PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment