• HABARI MPYA

  Tuesday, May 22, 2018

  PELLEGRINI KULIPWA PAUNI MILIONI 5 KWA MWAKA WEST HAM

  Manuel Pellegrini akiwa ameshika jezi ya West Ham United baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kwa mshahara wa Pauni Milioni 5 kwa mwaka akijiunga na timu hiyo ya London kutoka Hebei China Fortune kuchukua nafasi ya David Moyes aliyeondolewa kufuatia timu kunusurika kushuka daraja PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PELLEGRINI KULIPWA PAUNI MILIONI 5 KWA MWAKA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top