• HABARI MPYA

  Thursday, May 24, 2018

  RASMI KUANZIA LEO INIESTA NI MCHEZAJI WA VISSEL KOBE YA JAPAN

  Kiungo wa kimataifa wa Hispania, Andres Iniesta akiwa ameshika jezi namba 8 klabu ya Vissel Kobe inayocheza Ligi Kuu ya Japan baada ya kutambulishwa leo nchini humo kufuatia kusaini mkataba wa kujiunga nayo akitokea Barcelona alikodumu kwa miaka 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI KUANZIA LEO INIESTA NI MCHEZAJI WA VISSEL KOBE YA JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top