• HABARI MPYA

  Tuesday, May 29, 2018

  MAMBO YA FEDHA, SALAMBA SASA NI MMILIKI BONGE LA 'CROWN JIPYAAA'

  Mshambuliaji mpya wa Simba, Adam Salamba akiwa ameegemesa gari aina ya Crown ambayo ilikutwa inabadilishwa magurudumu mjini Dar es Salaam leo, ikiwa ni siku moja tu tangu asaini kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YA FEDHA, SALAMBA SASA NI MMILIKI BONGE LA 'CROWN JIPYAAA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top