• HABARI MPYA

    Wednesday, May 23, 2018

    ROONEY ATIMKIA MAREKANI KUKAMILISHA USAJILI DC UNITED

    Wayne Rooney akiwa Uwanja wa Ndege wa Barbados kuchukua ndege kwenda Marekani leo kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake klabu ya DC United kwa mshahara wa Pauni Milioni 3.7 kwa mwaka akitokea Everton ya kwao, England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY ATIMKIA MAREKANI KUKAMILISHA USAJILI DC UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top