Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli (kushoto) akishangilia kibabe baada ya kufunga baola kwanza dakika ya 21 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Kybunpark mjini St. Gallen hiyo ikiwa mechi yake ya kwanza kuchezea The Azzurri tangu baada ya Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014 nchini Brazil. Bao la pili la timu ya Roberto Mancini lilifungwa na Andrea Belotti dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment