• HABARI MPYA

  Tuesday, May 29, 2018

  TUNISIA WAICHOMOLEA URENO MABAO YOTE, SARE 2-2 BRAGA

  Nyota wa Manchester City, Bernando Silva wa Ureno akikabiliana na mchezaji wa Tunisia wakati wa mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Munispaa ya Braga kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Ureno walitangulia kwa mabao ya Andre Silva dakika ya 22 na Joao Mario dakika ya 34, kabla ya Tunisia kusawazisha kupitia kwa Anice Badri dakika ya 39 na Fakhreddine Ben Youssef dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUNISIA WAICHOMOLEA URENO MABAO YOTE, SARE 2-2 BRAGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top