• HABARI MPYA

  Tuesday, May 29, 2018

  MASHABIKI WA YANGA WALIVYOTIA HURUMA LEO UWANJA WA TAIFA

  Mashabiki wa Yanga wakifuatilia kwa huzuni mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana dhidi ya Azam FC, timu yao ikichapwa 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Hawa jamaa ndiyo hoi kabisa wakiishuhudia timu yao ikilambwa 3-1
  Hapa kuna viongozi na wapenzi wa Azam FC wakifuatilia kwa furaha mchezo wa jana
  Akina dada hawa ni sehemu ya mashabiki waliojitokeza uwanjani jana
  Wengine hawa nao wakifuatilia mchezo jana kwa raha zao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA YANGA WALIVYOTIA HURUMA LEO UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top