• HABARI MPYA

  Tuesday, May 22, 2018

  INIESTA AONYESHA UTAJIRI WA MATAJI ALIYOVUNA MIAKA 22 BARCELONA

  Andres Iniesta akionyesha mataji yote aliyoshinda katika miaka yake 22 ya kuwa na klabu ya Barcelona. Iniesta ametangaza kuondoka Barca baada ya msimu huu kufuatia kudumu klabu hiyo kwa miaka 22  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INIESTA AONYESHA UTAJIRI WA MATAJI ALIYOVUNA MIAKA 22 BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top