• HABARI MPYA

  Tuesday, May 29, 2018

  UFARANSA YASHINDA 2-0 KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji Mfaransa wa Chelsea, Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya taifa bao la kwanza dakika ya 40 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la pili la timu ya Didier Deschamps lilifungwa na Nabil Fekir anayetakiwa na Liverpool dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UFARANSA YASHINDA 2-0 KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top