• HABARI MPYA

  Thursday, May 24, 2018

  INIESTA HUYOOOO JAPAN KUMALIZIA SOKA YAKE BILA PRESHA

  Kiungo wa kimataifa wa Hispania, Andres Iniesta akiwa nan mmiliki wa timu ya Vissel Kobe, Hiroshi Mikitani, ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rakuten wadhamini wakuu wa Barcelona. Iniesta anatarajiwa kujiunga na Vissel Kobe ya Ligi Kuu ya Japan, baada ya kukamilissha miaka yake 22 ya kuwa na Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INIESTA HUYOOOO JAPAN KUMALIZIA SOKA YAKE BILA PRESHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top