• HABARI MPYA

    Tuesday, May 22, 2018

    COUTINHO ATUA KWA HELIKOPTA MAZOEZINI TIMU YA TAIFA BRAZIL

    Nyota wa Barcelona, Philippe Coutinho akiwasili kwa helikopta kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Brazil nje ya mji wa Rio kuanza maandalizi ya Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO ATUA KWA HELIKOPTA MAZOEZINI TIMU YA TAIFA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top