• HABARI MPYA

  Tuesday, May 29, 2018

  LIVERPOOL YASAJILI BEKI MBRAZIL WA MONACO KUMBADILI EMRE CAN

  Beki wa kulia, Mbrazil Fabio Henrique Tavares, maarufu kama Fabinho akisaini mkataba wa kujiunga na Liverpool kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 39.4 kutoka Monaco ambao utamuweka Anfield hadi Juni 2023, akichukuliwa kwenda kukamata nafasi ya Emre Can PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YASAJILI BEKI MBRAZIL WA MONACO KUMBADILI EMRE CAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top