• HABARI MPYA

    Wednesday, May 23, 2018

    YANGA SC NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Yanga, Paul Godfrey akimtoka kiungo wa Mbao FC, Mrundi Yussuf Ndikumana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0. 
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Matheo Anthony akimtoka beki wa Mbao FC, David Mwasa 
    Mshambuliaji wa Mbao FC, Emmanuel Mbuyekure akipiga shuti mbele ya kiungo wa Yanga, Mzimbabwe Thabani Kamusoko
    Kiungo wa Yanga, Maka Edward akimuacha chini mchezaji wa Mbao FC, Ismail Ally  
    Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akimtoka mchezaji wa Mbao FC, Chitembe Babilas  
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akitia krosi dhidi ya wachezaji wa Mbao FC
    Bejki wa Yanga, Hassan Kessy akitia krosi kwenye lango la Mbao FC
    Beki wa Yanga, Gardiel Michael akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mbao FC, Ndaki Robert
    Wachezaji wa Yanga wakinyoosha misuli baada ya mechi ya jana 
    Wachezaji wa Mbao FC baada ya mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top