• HABARI MPYA

  Thursday, May 10, 2018

  LEICESTER CITY YAITANDIKA ARSENAL 3-1 KING POWER

  Kelechi Iheanacho akiruka kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Leicester City dakika ya 14 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa King Power. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Jamie Vardy kwa penalti dakika ya 76 na Riyad Mahrez dakika ya 90, wakati la Arsenal limefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAITANDIKA ARSENAL 3-1 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top