• HABARI MPYA

    Thursday, May 10, 2018

    CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA HUDDERSFIELD TOWN

    Kiungo wa Chelsea, N'Golo Kante akipambana na mchezaji wa Huddersfield Town, Aaron Mooy katoka mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Laurent Depoitre alianza kuifungia Chelsea dakika ya 50, kabla ya 
    Marcos Alonso kuisawazishia Chelsea dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA HUDDERSFIELD TOWN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top