• HABARI MPYA

  Thursday, May 10, 2018

  HARRY KANE AIPELEKA SPURS LIGI YA MABINGWA 2019

  Mshambuliaji Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Tottenham Hotspur dakika ya 50, ikiilaza 1-0 Newcastle United usiku wa Jumatano wa Jumatano na kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa kujihakikishia kumaliza ndani ya timu nne za juu kwenye msimamlo w Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HARRY KANE AIPELEKA SPURS LIGI YA MABINGWA 2019 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top