• HABARI MPYA

    Thursday, May 10, 2018

    YAYA AAGWA MAN CITY IKIITANDIKA 3-1 BRIGHTON

    Kiungo Muivory Coast, Yaya Youre (kushoto) akipiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa wa Brighton & Hove Albion usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Man City imeshinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Danilo dakika ya 16, Bernardo Silva dakika ya 34 na Fernandinho dakika ya 72. Huo ulikuwa mchezo maalum wa kumuaga Yaya  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YAYA AAGWA MAN CITY IKIITANDIKA 3-1 BRIGHTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top