• HABARI MPYA

  Thursday, May 10, 2018

  DEMBELE APIGA MBILI, BARCELONA YATOA KIPIGO 'KITAKATIFU' LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Ousmane Dembele (kushoto) akimkaribia mchezaji mwenzake, Phillippe Coutinho kumpongeza kwa kufunga bao lake la kwanza dakika ya 87 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Villarreal usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Dembele alifunga mabao mawili, lingine dakika y 90 na ushei wakati mabao mengine ya Barca yalifungwa na Coutinho dakika ya 11 na 16 na Lionel Messi dakika ya 45, wakati la Villarreal limefungwa na Nicola Sansone dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEMBELE APIGA MBILI, BARCELONA YATOA KIPIGO 'KITAKATIFU' LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top