• HABARI MPYA

    Monday, May 21, 2018

    UMATI WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA KOMBE LA FRANKFURT

    Kevin-Prince Boateng aliyetoa mchango mkubwa kwa Eintracht Frankfurt kutwaa Kombe la Chama cha Soka Ujerumani (DFB) akiwa ameshika taji hilo mbele ya umati wa mashabiki wa timu hiyo uliojitokeza kusherehekea ushindi huo uliotokana na kuwachapa vigogo Bayern Munich 3-1 juzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UMATI WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA KOMBE LA FRANKFURT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top