• HABARI MPYA

  Monday, May 21, 2018

  PSG YAMTAMBULISHA THOMAS TUCHEL, YAMTIMUA EMERY

  Mwenyekiti wa klabu ya Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kocha mpya, Thomas Tuchel wakati wa kumtambulisha jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa kufuatia kusaini mkataba wa hadi mwaka 2020 kuchukua nafasi ya Unai Emery anayeondolewa baada ya msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG YAMTAMBULISHA THOMAS TUCHEL, YAMTIMUA EMERY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top