• HABARI MPYA

  Thursday, May 10, 2018

  JUVENTUS WABEBA COPPA ITALIA YA NNE MFULULIZO

  Wachezaji wa Juventus wakishangilia na taji lao la Coppa Italia walilolitwaa kwa mara ya nne mfululizo usiku wa Jumatano baada ya kuifunga AC Milan mabao 4-0 Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Medhi Benatia akifunga mabao mawili dakika za 56 na 64, mengine Douglas Costa dakika ya 61 na Nikola Kalinic aliyejifunga dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS WABEBA COPPA ITALIA YA NNE MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top