• HABARI MPYA

  Thursday, May 10, 2018

  RAMOS AKOSA PENALTI, AJIFUNGA REAL YAPIGWA 3-2

  Beki na Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos akisikitika baada ya kujifunga dakika ya 84 kuipatia bao la tatu Sevilla katika ushindi wa 3-2 usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Ramos pia alikosa penalti dakika ya 58, ingawa aliifungia Real bao la pili dakika ya tano ya muda wa nyongeza baadfa ya kutimia dakika 90 za kawaida. Bao la kwanza la Real Madrid lilifungwa na Borja Mayoral dakika ya 87, wakati mabao mengine ya Sevilla yalifungwa na Wissam Ben Yedder dakika ya 26 na Miguel Layun dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AKOSA PENALTI, AJIFUNGA REAL YAPIGWA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top