• HABARI MPYA

    Monday, May 21, 2018

    BARCELONA YAICHAPA 1-0 REAL SOCIEDAD LA LIGA

    Philippe Coutinho akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 57 ikiilaza 1-0 Real Sociedad katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA 1-0 REAL SOCIEDAD LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top