• HABARI MPYA

  Monday, May 21, 2018

  SHAMRASHAMRA ZA KUMUAGA INIESTA ZILIVYOFANA JANA CAMP NOU

  Wachezaji wa Barcelona wakimrusha juu mkongwe, Andres Iniesta Lujan katika sherehe za kumuaga jana baada ya mechi ya La Liga dhidi ya Real Sociedad Uwanja wa Camp Nou wakishinda 1-0. Iniesta mwenye umri wa miaka 34 sasa anaondoka Barca baada ya miaka 22 tangu ajiunge nayo mwaka 1996 akiwa kijana mdogo akianzia akademi la La Masia kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza mwaka 2002 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHAMRASHAMRA ZA KUMUAGA INIESTA ZILIVYOFANA JANA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top