• HABARI MPYA

    Friday, July 01, 2016

    SIMBA SC WAKABIDHIWA HATI YA KIWANJA CHAO CHA BUNJU

    Mdhamini wa Simba SC, Ramesh Patel (kulia) akipokea hati ya kiwanja cha klabu hiyo kilichopo eneo la Bunju mjini Dar es Salaam (ploti namba 226 Block 1) kutoka kwa Ofisa Msajili wa Hati, Mpoki Mwalufunda (kushoto). Anayeshuhudia kwa nyuma ni Msajili Msaidizi wa Hati, Apollo Laizer
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WAKABIDHIWA HATI YA KIWANJA CHAO CHA BUNJU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top