Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, July 09, 2016

  SERENA WILLIAMS AZIMIA UWANJANI KWA FURAHA YA TAJI LA SABA LA WIMBLEDON

  Mcheza tenisi maarufu, Mmarekani Serena Williams akiwa amezimia uwanjani kwa furaha ya kutwaa taji la saba la Wimbledon mjini London leo baada ya kumfunga Mjerumani Angelique Kerber katika fainali ya wanawake kwa seti 2-0, akishinda 7-5 na 6-3 na kutimiza mataji 22 ya Grand Slam, hivyo kufikia rekodi ya Steffi Graf kama wanawake waliotwaa mataji mengi zaidi. Kwa ushindi huo, amezawadiwa Pauni Milioni 2 huku Angelique Kerber akipata Pauni Milioni 1 kwa kushika nafasi ya pili  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SERENA WILLIAMS AZIMIA UWANJANI KWA FURAHA YA TAJI LA SABA LA WIMBLEDON Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top