Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akishangilIa baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa Nusu Fainali Fainali Euro 2018 usiku huu Uwanja wa Parc Olympique mjini Lyon, Ufaransa. Bao lingine la Ureno limefungwa na Nani kwa pasi ya Ronaldo na sasa inakwenda fainali ambako itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya wenyeji Ufaransa dhidi ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
US, Iran set for peace talks but doubts emerge over Lebanon, sanctions
-
ISLAMABAD, April 11 (Reuters) - The U. and Iran were to hold negotiations
in the Pakistani capital Islamabad on Saturday seeking to end their
six-week-old ...
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment