• HABARI MPYA

  Tuesday, July 05, 2016

  KIPRE TCHETCHE ALIPOKUTANA NA ENYEAMA 'KWENYE BATA' DUBAI

  Mshambuliaji Muivory Coast wa Azam FC ya Tanzania, Kipre Herman Tchetche (kushoto) akiwa na kipa Mnigeria wa Lille ya Ufaransa Vincent Enyeama walipokutana Dubai wakati wote wakiwa mapumzikoni hivi karibuni

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPRE TCHETCHE ALIPOKUTANA NA ENYEAMA 'KWENYE BATA' DUBAI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top