Kiungo Denis Suarez akiwa na jezi ya Barceloma baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 2.7 kutoka Villarreal, zote za Hispania akisani Mkataba wa miaka minne leo kurejea Nou Camp, ambako alisajiliwa mara ya mwaka 2013 kutoka Manchester City, lakini akauzwa baada ya kukosa nafasi. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Co-leader McIlroy's golf does the talking after busy Masters build-up
-
With the pomp and celebration of his Masters victory finished, Rory McIlroy
reminded everyone he is back at Augusta to win again.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment