• HABARI MPYA

    Sunday, May 20, 2018

    SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akimiliki mpira kwa ustadi wa hali ya juu katikati ya wachezaji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kagera Sugar ilishinda 1-0 

    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla (kushoto) akipambana na kiungo mkongwe wa Kagera Sugar, George Kavilla
    Mshambuliaji na Nahodha wa Simba SC, Jonas Mkude akiwa juu baada ya kupiga mpira kwa kichwa dhidi ya mabeki wa Kagera Sugar 
    Winga wa Simba SC, Shiza Kichuya (kulia) akimiliki mpira pembeni yak beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi 
     Beki wa Simba Shomari Kapombe akiondoka na mpira dhidi ya mchezaji wa Kagera Sugar
    Winga wa Kagera Sugar, Abdallah Mguhi (kulia) akijaribu kumpita mchezaji wa Simba, Mghana Nicholas Gyan
    Kiungo wa Kagera Sugar, Japhet Makalai akimtoka beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' 
     Shomari Kapombe (kushoto) na Abdallah Mguhi
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiongozwa na Nahodha wa Kagera Sugar, Juma Kaseja kutambulishwa wachezaji wa timu hiyo ya Bukoba
    Rais Dk, John Pombe Joseph  Magufuli akisalimiana na beki wa Simba, Erasto Nyoni (kushoto). Katikati ni Shiza Kichuya 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top