• HABARI MPYA

  Sunday, May 20, 2018

  SHABIKI ALIYEZIMIA JANA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA KAGERA

  Shabiki wa Simba akiwa amebebwa na wenzake baada ya kupoteza fahamu kufuatia timu yake kufungwa 1-0 na Kagera Sugar Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jana  
  Mashabiki wa Simba wakiwa wamembeba mwenzao baada ya kupoteza fahamu jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
  Mechi ya jana ilihudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli 
  Shabiki huyu aliwastaajabisha wengi juu ya kuzimia kwake
  Alikuwa amelegea kabisa na chanzo cha kupoteza kwake fahamu hakikujulikana mapema
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHABIKI ALIYEZIMIA JANA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA KAGERA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top