• HABARI MPYA

  Sunday, May 20, 2018

  SHEREHE ZA UBINGWA JUVENTUS ZILIVYOFANA JANA

  Basi la wachezaji wa Juventus likikatiza mitaa ya Jiji la Turin jana kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A. Kibibi Kizee hicho cha Turin kilitwaa taji hilo wikiendi iliyopita baada ya sare ya 0-0 na Roma siku chache baada ya kuchukua na Kombe la Italia kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya AC Milan, kabla ya usiku wa jana kushinda 2-1 dhidi ya Hellas Verona PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHEREHE ZA UBINGWA JUVENTUS ZILIVYOFANA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top