• HABARI MPYA

  Sunday, May 20, 2018

  EINTRACHT FRANKFURT WAIPIGA BAYERN MUNICH 3-1 NA KUBEBA DFB

  Wachezaji wa Eintracht Frankfurt wakisherehekea ushindi wa Kombe ka Ujerumani baada ya kuwafunga Bayern Munich 3-1 usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin. Mabao ya Eintracht Frankfurt yalifungwa na An Ante Rebic mawili dakika za 11 na 82 na Mijat Gacinovic dakika ya 90 na ushei, wakati la Bayern Munich lilifungwa na Robert Lewandowski dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EINTRACHT FRANKFURT WAIPIGA BAYERN MUNICH 3-1 NA KUBEBA DFB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top