• HABARI MPYA

  Sunday, May 20, 2018

  RONALDO AKASIRIKA REAL KUSAWAZISHIWA MABAO WAKITOA SARE 2-2

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akionyesha hasira zake baada ya timu yake kusawazishiwa mabao yote mawili na wenyeji Villarreal katiuka sare ya 2-2 usiku wa jana Uwanja wa Ceramica mjini Villarreal kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool katikati ya wiki. Real Madrid ilitangulia kwa mabao ya Gareth Bale dakika ya 11 na Ronaldo dakika ya 32, kabla ya Villarreal kuchomoa kupitia kwa Roger Martinez dakika ya 70 na Samu Castillejo dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AKASIRIKA REAL KUSAWAZISHIWA MABAO WAKITOA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top