• HABARI MPYA

  Wednesday, May 09, 2018

  PSG WASHINDA 2-0 NA KUBEBA KOMBE LA 12 LA UFARANSA

  Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakifurahia na Kombe la Ufaransa baada ya kuifunga timu ya Daraja la Tatu, Les Herbiers 2-0 mabao ya Giovani Lo Celso dakika ya 26 na Edinson Cavani dakika ya 74 kwa penalti jana Uwanja wa Stade de France  mjini Paris hilo likiwa taji lake la 12 la michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WASHINDA 2-0 NA KUBEBA KOMBE LA 12 LA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top