• HABARI MPYA

    Sunday, May 20, 2018

    MAKAMU WA RAIS, JOSEPH SINDE WARIOBA AKIMKABIDHI TUZO CHINA WA YANGA SC 1988

    Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi Tuzo ya Mchezaji Mwenye Umri Mdogo Zaidi kucheza Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani China. Katika sherehe hizo zilizohuhudhuriwa na viongozi wengine wa chama (CCM) na Serikali wakiwemo Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (sasa marehemu), Alhaji Mohamed Mussa na Fatuma Said Ally - Mheshimiwa Warioba pia alimkabidhi beki wa Reli, John Simkoko tuzo ya Mchezaji Mwenye umri mkubwa kuliko wote (miaka 40).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS, JOSEPH SINDE WARIOBA AKIMKABIDHI TUZO CHINA WA YANGA SC 1988 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top