Kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja akiwa ametulia chini baada ya kudaka mpira jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya timu yake ya zamani, Simba SC. Kaseja aliokoa penalti ya Mganda Emmanuel Okwi dakika ya 90 na kuisaidia Kagera Sugar kushinda 1-0 ugenini
Hapa Juma Kaseja anamtuliza refa Florentina Zablon wa Dodoma aliyemfuata kumkaripia kwa kupoteza muda
Florentina Zablon akimueleza Juma Kaseja kwa msistizo jana
Juma Kaseja (kushoto) na mabeki wake Mohammed Fakhi na Juma Nyosso, wote wachezaji wa zamani wa Simba wakiwa wamewawekea ulinzi washambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi na John Bocco
Juma Kaseja ambaye anacheza Ligi Kuu kwa mwaka wa 16 tangu aibukie Moro United mwaka 2002 akijimwagia maji jana wakati mchezo umesimama kwa muda
Juma Kaseja akidaka mpira mbele ya Emmanuel Okwi jana
Why 2025 feels like NFL 'snow globe's been shaken'
-
The Kansas City Chiefs have made an early exit from the NFL play-off race,
leaving the road to the Super Bowl open. Who are the pretenders to their
throne?
24 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment