• HABARI MPYA

    Thursday, May 17, 2018

    YANGA NA RAYON KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' (kulia) akiruka kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa Rayon Sport ya Rwanda, Shaaban Hussein katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, timu hizo zikitoka sare ya 0-0
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwa juu ya mchezaji wa Rayon Sport katika moja ya pilika za mchezo wa jana
    Winga wa Yanga, Yusuph Mhilu (kulia) akimtoka beki wa Rwanda
    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka mchezaji wa Rayon Sport, Francois Mugisha
    Kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kulia) akimlamba chenga Francois Mugisha wa Rayon Sport  
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwatoka wachezaji wa Rayon Sport
    Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe akipambna na beki wa Rayon Sport, Thierry Manzi
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimpita beki wa Rayon Sport 
    Kikosi cha Rayon Sport kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA RAYON KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top