• HABARI MPYA

  Thursday, May 17, 2018

  GRIEZMANN AWAAGA ATLETICO MADRID NA KOMBE LA ULAYA

  Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akibusu Kombe la Europa League baada ya kuiwezesha klabu yake, Atletico Madrid kulitwaa kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Olympique Marseille usiku wa Jumatano Uwanja wa Groupama mjini Lyon, Ufaransa yeye akifunga mabao mawili dakika za 21 na 49, kabla ya Gabi kufunga la tatu dakika ya 89. Griezmann anatarajiwa kujiunga na Barcelona baada ya kuipa taji hilo Atletico PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AWAAGA ATLETICO MADRID NA KOMBE LA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top