• HABARI MPYA

  Friday, May 11, 2018

  POGBA AGOMBANA NA NOBLE, MAN UNITED IKITOA SARE NA WHU

  Nahodha wa West Ham United, kiungo Mark Noble akigombana na kiungo wa Manchester United, Paul Pogba mwishoni mwa mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 0-0 baina ya timu hizo usiku wa Alhamisi Uwanja wa London. Noble aliinuka kwenda kumshambulia Pogba akidai Mfaransa huyo alimchezea rafu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AGOMBANA NA NOBLE, MAN UNITED IKITOA SARE NA WHU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top